Dialogue - Swahili
Hide
| Tamasha la Concours D’ Elegance. | ||
| Tamasha la Concours D’ Elegance linahusu mashindano ya uzuri wa magari kukiwamo maonyesho ya magari ya kifahari na pikipiki. | ||
| Pia mna muziki na burudani isiyo na kikomo kwa watoto. | ||
| Maonyesho haya hufanyika kila mwaka, mwezi wa Septemba katika uwanja wa ‘Race Course’ jijini Nairobi. | ||
| Tamasha hii inayondaliwa na wanaomiliki klabu ya Alfa Romeo ilianza California mwaka wa 1910 na kisha nchini kenya baada ya miaka ishirini. | ||
| Ni tamasha la kifahari zaidi na la aina yake ulimwenguni. | ||
| Huonyesha uzuri na upekee iliyo katika magari ya zamani na pia iliyo kwenye bidhaa mengine ya magari ya kisasa. | ||
| Wakati unaposalia, maonyesha haya yamevutia washiriki kutoka Australia, Uingereza, Ujerumani, Mauritius, Zimbabwe likiwa Afrika Kusini, Tanzania na Uganda. | ||
| Tamasha hili linalojulika hasa kwa mtindo na historia unapenyeza modeli ya magari yaliyoundwa yapata miaka ya 1920. | ||
| Ni katika tamasha hii pekee tunapoweza kuona magari ambayo huonyeshwa kwenya sinema pekee na ambazo hazitaweza kupatikana kwenye barabara za Kenya. | ||
| Wanaomiliki baadhi ya magari haya na pikipiki hufurahia kuendesha magari yao mbele ya umati wa watazamaji waliofurika uwanjani. | ||
| Gari la kifahari na pikipiki hunandaliwa kwenye uwanja wa mashindano kabla ya tamasha hili la magari; hivyo basi, kuwapa fursa nzuri watu wanaotaka kuuza magari yao kwa wanoataka kununua. | ||
| Tukio hili huipa Taifa la Kenya jukwaa ya kuonyesha muktadha wa kimataifa kuwa kando na kuwa na mwamba mzuri na mambuga ya wanyama pori, una uwezo wa kuandaa matukio ya msimamo wa kimataifa. | ||
| Tukio hili kubwa na ambalo huchukua siku moja huisha kwa kuwatangaza washindi kwenye vikundi mbalimbali. | ||
| Kuna mshindi wa jumla na washindi katika viwango vingine kulingana na miundo na wakati wa kutengenezwa. | ||
| Tathmini huanza kwa kuangalia upande wa chini, ikifuatwa na jinsi nje ilivyomaliziwa, kisha upande wa ndani na hatimaye mitambo. |
| Concours D'Elegance | ||
| This is a beauty contest for vehicles. It involves the showcasing of classic and vintage cars and motorcycles coupled with live music and nonstop entertainment for children. | ||
| It takes place at the Nairobi Race Course every year in the month of September. | ||
| This festival, organized by the Alfa Romeo owners club, began in California in 1910 and in Kenya twenty years later. | ||
| It is rated as the most prestigious and varied event of its type in the world. | ||
| It showcases the beauty and uniqueness of the old—school classic and also of some of the new motor products. | ||
| Over time, it has attracted entries from Australia, England, Germany, Mauritius, South Africa, Zimbabwe, Tanzania, and Uganda. | ||
| This event, termed as "all about style and history," has entries of vehicle models made as early as the 1920s. | ||
| It is only in this festival that we get to see cars that we only see in movies and would probably never ride on the Kenyan roads. | ||
| The proud owners of the various vehicles and motorcycles delight in driving their well—prepared cars in front of the crowded racecourse grandstands. | ||
| A classic car and motorcycle sale is usually held in the racecourse prior to this festival for cars made some decades back. | ||
| This offers a good chance for owners of unwanted cars and motorcycles to sell them to enthusiasts. | ||
| This event provides our nation with a platform to showcase Kenya in the global context—not only as a holiday destination with wildlife and beaches—but also as one that organizes events of international standing. | ||
| This great, one—day event ends with crowning the winners in the various categories. | ||
| There is an overall winner and winners in other makes classified according to the year of make. | ||
| The assessment starts with a check on the underside, which is followed by checks on external finish, interiors, and engines. |
Main

English

Comments
Hide