Dialogue
Want to Understand & Master the Swahili Dialogue 100%?
Get a breakdown of the dialogue and translations instantly with the Premium line-by-line Audio. Sign up for your Free Lifetime Account Now and get 7 Days of Premium Access including this feature.
Already a Member?
Sign In Here
Comments
HideCan you answer the question 'When is your birthday?' in Swahili?
Jambo Amos,
Nimefurahia kujua siku yako yakuzaliwa. Imebakisha miezi kama mitano. Welldone for writing correctly. Continue enjoying the Swahili learning experience.
Joshua
Team SwahiliPod101.com
SIKU YANGU YAKUZALIWA NI SEPTEMBA KUMI
Jambo Chippa,
Nimefurahia kujua siku yako ya kuzaliwa. Congratulations for writing correctly. Continue enjoying the Swahili learning experience.
Joshua
SwahiliPod101.com
Jambo,
Siku yangu ya kuzaliwa ni siku ya nane, ya mwezi wa Oktoba.
Siku mwema.
Jambo Jennifer,
Nimefurahia kujua siku yako ya kuzaliwa. Ulizaliwa Decemba kumi na mbili siku ambayo Kenya ilipata kuwa Jamhuri kwa hivyo kuna sikukuu hii siku. Endelea kufurahia kujifunza Swahili.
Joshua
Team swahilipod101.com
Ni Decemba kumi na mbili