Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Animal Names
21 words
Word Image
Animal Names
21 words
ndege
(n)
bird
Emu ni ndege mkubwa, asiyeweza kupaa.
The emu is a large, flightless bird.
kondoo
(n)
sheep
Mkulima ananyoa kondoo.
The farmer is shearing the sheep.
mbwa
(n)
dog
mbwa hadharangi na mbwa mweusi
a brown dog and a black dog
paka
(n)
cat
Paka wa mistari anacheza na uzi mwekundu.
The striped cat is playing with red yarn.
panya
(n)
mouse
Panya mwenye rangi hadharani.
brown mouse
bata mzinga
(n)
turkey
Bata mzinga mwenye rangi nyeusi na nyeupe.
black and white turkey
ng'ombe
(n)
cow
Ng'ombe yuko malishoni.
The cow is in the field.
nguruwe
(n)
pig
Nguruwe anauuguza vinguruwe.
The pig is nursing the piglets.
farasi
(n)
horse
farasi yuko uwanjani
horse in a field
mbuzi
(n)
goat
Mbuzi yuko malishoni.
The goat is in the meadow.
nyoka
(n)
snake
Nyoka wa ziwa anaogelea karibu na mwamba.
The sea snake is swimming near the coral reef.
mbwa
(n)
wolf
Mbwa anaye nyagonyago.
howling wolf
tumbili
(n)
monkey
Tumbili wanakula wadudu kwa kijiti.
The monkeys are eating ants with a stick.
simba
(n)
lion
Simba anasimama kisha anaendelea kutembea.
The lion pauses and then continues walking.
twiga
(n)
giraffe
Twiga wanakula matawi ya mti katika mbuga la wanyama.
The giraffes are eating leaves from a tree in a zoo.
ndovu
(n)
elephant
Niliona ndovu kwenye bunga la wanyama.
I saw an elephant at the zoo.
kururu
(n)
crab
Kururu wawili wanatembea kwenye pwani.
The two crabs are walking on a rock.
kuku
(n)
chicken
Kuku na vifaranga wake wanapekua kwenye chakula chao.
The chicken and chicks are pecking at their food.
kambakoche
(n)
lobster
Kambakoche aliye hai.
live lobster
samaki
(n)
fish
Samaki anaogelea kwenye maji.
The fish is swimming in the water.
mwanakondoo
(n)
lamb
Vikondoo vinakula.
The lambs are eating.
0 Comments
Top