Start Learning Swahili in the next 30 Seconds with
a Free Lifetime Account

Or sign up using Facebook
Word Image
Body Parts in Swahili
20 words
Word Image
Body Parts in Swahili
20 words
misuli
(n)
muscle
Misuli yangu inadonda
My muscles are sore.
mfupa
(n)
bone
eksirei ya mfupa.
X-ray of a chest
uti wa mgongo
(n)
backbone
Uti wa mgongo unamifupa zingine ndogo.
The backbone is made up of several smaller bones.
kichwa
(n)
head
Vaa mrembe kulinda kichwa chako.
Wear a helmet to protect your head.
shingo
(n)
neck
Mimi nimepata maumivu ya shingo yangu.
I've got a pain in my neck.
mguu
(n)
foot
mguu wa kushoto.
left foot
kifundo cha mguu
(p)
ankle
sthtua kifundo
sprain an ankle
mguu
(n)
leg
miguu mirefu.
long legs
mkono
(n)
arm
mikono miwili.
two arms
kiwiko
(n)
elbow
kunjika kwa kumbo.
bend an elbow
fundo la mkono
(n)
wrist
konde na kifundo cha mkono.
fist and wrist
kiganja cha mkono
(p)
hand
Mtoto anainua mkono wake.
The child is raising his hand.
kidole
(n)
finger
Kidole changu kinatokwa na damu.
My finger's bleeding.
damu
(n)
blood
tumbo
(n)
stomach
Tumbo linaniuma.
I have a stomach ache.
kifua
(n)
chest
Kifua kinaniuma.
I have chest pain.
mwili
(n)
body
Mwili wa binadamu.
human body
mgongo
(n)
back
Mgongo wangu unauchungu.
My back hurts.
ngozi
(n)
skin
Najiskia kujikuna kwa ngozi yangu.
My skin itches.
goti
(n)
knee
Mvulana alianguka na kukwaruza mguu wake.
The boy fell and scraped his knees.
0 Comments
Top